Inahudumia Watanzania Wote

SmartTill POS

Mauzo kwa urahisi, faida zaidi — Digitali kabisa Tanzania

Mfumo wa kisasa wa kuuza bidhaa, kudhibiti hisa na kuchambua mauzo yako

Siku 5 za Majaribio Bure • Hakuna Ada ya Kujiunga • Msaada 24/7

Vipengele Bora

Kila kitu unachohitaji kwa biashara yako

Imeundwa kwa ajili ya wafanyabiashara wa Tanzania

Ufuatiliaji wa Mauzo

Fuatilia mauzo yako kwa wakati halisi

Udhibiti wa Inventory

Tarifa za bidhaa zinazoisha na usimamizi rahisi

Ripoti za Kina

Angalia faida na utendaji wa biashara yako

Watumiaji Wengi

Dhibiti wafanyakazi wako kwa urahisi

Jinsi Inavyofanya Kazi

Anza kwa hatua 5 Rahisi

Uko tayari kuanza? Fuata hatua hizi rahisi

1

Jisajili kwenye Mfumo

Jaza taarifa za biashara yako na uunde akaunti. Hakuna ada ya kujiunga na unapata siku 5 za majaribio bure kabisa.

Bure kabisa Dakika 2 tu
2

Sajili Idara na Kategoria

Undana idara za biashara yako (Mkate, Vinywaji, n.k) na kategoria za bidhaa kwa urahisi.

Idara Kategoria Watumiaji
3

Sajili Bidhaa Zako

Njia 2 za kusajili bidhaa: Tumia Excel Template au ingiza moja kwa moja kwenye mfumo.

Excel Template Kwenye Mfumo
Pakua template yetu
4

Uza Bidhaa Zako

Anza kuuza kwa kutumia mfumo wetu wa POS. Tafuta bidhaa kwa jina au barcode, ongeza kwenye kikapu na uchapishe risiti.

Scan Barcode Chapisha Risiti
5

Angalia Ripoti Zako

Fuatilia mauzo, faida, hisa na utendaji wa biashara yako kwa ripoti za kina na za wakati halisi.

Mauzo Faida Hisa

Msaada wa Kila Hatua

Timu yetu iko tayari kukusaidia katika kila hatua. Wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp kwa msaada wa haraka.

0756 441 607 info@smarttill.co.tz

Chagua Mpango Unaokufaa

Bei nafuu kwa kila aina ya biashara Tanzania

Basic
TSh 20,000

/mwezi

Au TSh 200,000/mwaka (Okoa 40,000)
  • ✔️ Hadi mauzo 500
  • ✔ Bidhaa 1k
  • ✔️ Ripoti za msingi
  • ✔️ Watumiaji 3
  • ✔️ Msaada wa barua pepe
Chagua Mpango
Enterprise
TSh 60,000

/mwezi

Au TSh 630,000/mwaka (Okoa 90,000)
  • ✔️ Mauzo bila kikomo
  • ✔️ Ripoti zote za biashara
  • ✔️ Idadi ya bidhaa bila kikomo
  • ✔️ Watumiaji wasio na kikomo
  • ✔️ Matawi 3 ya biashara
  • ✔️ Maombi ya vipengele vipya
Chagua Mpango
Tuunge Mkono

Wasiliana Nasi

Fuata mitandao yetu ya kijamii au wasiliana nasi moja kwa moja kwa WhatsApp kwa msaada wa haraka.

Timu ya Msaada

Tunakusaidia kwa Kiswahili na Kiingereza


+255 756 441 607
info@smarttill.co.tz
Jumatatu-Ijumaa: 8:30 - 18:00 | Jumamosi: 9:00 - 14:00

Anza kutumia SmartTill POS Leo

Jiunge na mamia ya wafanyabiashara wanaotumia mfumo wetu kukuza biashara zao

Anza Majaribio Bure

Hakuna kadi ya mkopo inayohitajika • Ghairi wakati wowote